summaryrefslogtreecommitdiff
path: root/java/com/android/dialer/blocking/res/values-sw/strings.xml
blob: 8fbd614faab81e7770c110f52ea9e4b21e11e956 (plain)
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
<resources xmlns:xliff="urn:oasis:names:tc:xliff:document:1.2">
  <string name="migrate_blocked_numbers_dialog_title">Njia mpya na rahisi ya kuzuia</string>
  <string name="migrate_blocked_numbers_dialog_message">Ili kukulinda vizuri zaidi, Simu inahitaji kubadilisha mipangilio ya kipengele cha kuzuia. Hutapokea simu wala SMS kutoka nambari ulizozizuia na nambari hizo huenda zikashirikiwa na programu zingine.</string>
  <string name="migrate_blocked_numbers_dialog_allow_button">Ruhusu</string>
  <string name="old_block_number_confirmation_title">Je, ungependa kuzuia %1$s?</string>
  <string name="block_number_confirmation_message_vvm">Simu zinazopigwa kutoka nambari hii zitazuiwa na ujumbe wa sauti utafutwa kiotomatiki.</string>
  <string name="block_number_confirmation_message_no_vvm">Simu zinazopigwa kutoka nambari hii zitazuiwa, lakini mpigaji bado anaweza kukutumia ujumbe wa sauti.</string>
  <string name="block_number_confirmation_message_new_filtering">Hutapokea simu wala SMS kutoka kwa nambari hii tena.</string>
  <string name="block_number_ok">ZUIA</string>
  <string name="unblock_number_confirmation_title">Ungependa kuacha kuzuia nambari %1$s?</string>
  <string name="unblock_number_ok">ACHA KUZUIA</string>
  <string name="invalidNumber">%1$s si sahihi.</string>
  <string name="snackbar_number_blocked">%1$s imezuiwa</string>
  <string name="snackbar_number_unblocked">%1$s imeondolewa kizuizi</string>
  <string name="send_to_voicemail_import_failed">Imeshindwa kuingiza</string>
  <string name="call_blocking_disabled_notification_title">Huduma ya kuzuia simu imezimwa kwa saa 48</string>
  <string name="call_blocking_disabled_notification_text">Imezimwa kwa sababu simu ya dharura imepigwa.</string>
</resources>