"Zima hali ya ndegeni" "Inawasha kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana" "Huenda usipokee arifa za ujumbe wa sauti mpaka kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana kiwe kimewashwa kabisa. Piga nambari ya ujumbe wa sauti ili upate ujumbe mpya mpaka kipengele hicho kitakapokuwa kimewashwa kabisa." "Imeshindwa kuwasha kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana" "Hakikisha kwamba simu yako ina muunganisho wa mtandao wa simu kisha ujaribu tena." "Zima hali ya ndegeni kisha ujaribu tena." "Hakuna muunganisho" "Hutaarifiwa ukipata ujumbe mpya wa sauti. Kama unatumia Wi-Fi sasa hivi, unaweza kuangalia kama una ujumbe wa sauti kwa kusawazisha sasa." "Hutaarifiwa ukipata ujumbe mpya wa sauti. Zima hali ya ndegeni ili usawazishe ujumbe wa sauti." "Simu yako inahitaji muunganisho wa mtandao wa simu kufungua ujumbe wa sauti." "Imeshindwa kuwasha kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana" "Bado unaweza kupiga simu usikilize ujumbe wa sauti." "Imeshindwa kusasisha kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana" "Jaribu tena baadaye muunganisho wa Wi-Fi au mtandao wa simu ukiimarika. Bado unaweza kupiga simu usikilize ujumbe wa sauti." "Jaribu tena baadaye muunganisho wa data ya simu za mkononi ukiimarika. Bado unaweza kupiga simu usikilize ujumbe wa sauti." "Imeshindwa kusasisha kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana" "Bado unaweza kupiga simu usikilize ujumbe wa sauti." "Imeshindwa kusasisha kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana" "Bado unaweza kupiga simu usikilize ujumbe wa sauti." "Imeshindwa kusasisha kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana" "Bado unaweza kupiga simu usikilize ujumbe wa sauti." "Imeshindwa kusasisha kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana" "Bado unaweza kupiga simu usikilize ujumbe wa sauti." "Kikasha kinakaribia kujaa" "Hutaweza kupokea ujumbe mpya wa sauti kama kikasha chako kimejaa." "Huwezi kupokea ujumbe mpya wa sauti" "Kikasha chako kimejaa. Jaribu kufuta baadhi ili uweze kupokea ujumbe mpya wa sauti." "Washa nafasi ya ziada halafu uhifadhi nakala rudufu" "Sanduku lako la ujumbe wa sauti limejaa. Ili upate nafasi, washa hifadhi ya ziada ili Google idhibiti na kuweka nakala rudufu ya ujumbe wako wa sauti." "Washa nafasi ya ziada halafu uhifadhi nakala rudufu" "Sanduku lako la ujumbe wa sauti linakaribia kujaa. Ili upate nafasi, washa hifadhi ya ziada ili Google idhibiti na kuweka nakala rudufu ya ujumbe wako wa sauti." "Weka PIN yako ya ujumbe wa sauti" "Utahitaji PIN ya ujumbe wa sauti wakati wowote unapopiga simu ili ufikie ujumbe wako wa sauti." "Hitilafu isiyojulikana" "Mipangilio ya Hali ya Ndegeni" "Weka PIN" "Jaribu Tena" "Washa" "Hapana, asante" "Sawazisha" "Piga nambari ya ujumbe wa sauti" "Pigia Kituo cha Usaidizi kwa Wateja" "Hitilafu Fulani Imetokea" "Samahani, tatizo fulani limetokea. Tafadhali jaribu tena baadaye. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9001." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Samahani, tatizo fulani limetokea. Tafadhali jaribu tena baadaye. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9002." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Samahani, tatizo fulani limetokea. Tafadhali jaribu tena baadaye. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9003." "Imeshindwa kuunganisha kwenye Kikasha chako cha Ujumbe wa Sauti" "Samahani, tunatatizika kuunganisha kwenye kikasha chako cha ujumbe wa sauti kwa sasa. Kama upo mahali penye muunganisho hafifu wa mtandao, subiri hadi upate muunganisho mzuri kisha ujaribu tena. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9004." "Imeshindwa kuunganisha kwenye Kikasha chako cha Ujumbe wa Sauti" "Samahani, tunatatizika kuunganisha kwenye kikasha chako cha ujumbe wa sauti kwa sasa. Kama upo mahali penye muunganisho hafifu wa mtandao, subiri hadi upate muunganisho mzuri kisha ujaribu tena. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9005." "Imeshindwa kuunganisha kwenye Kikasha chako cha Ujumbe wa Sauti" "Samahani, tunatatizika kuunganisha kwenye kikasha chako cha ujumbe wa sauti kwa sasa. Kama upo mahali penye muunganisho hafifu wa mtandao, subiri hadi upate muunganisho mzuri kisha ujaribu tena. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9006." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Samahani, tatizo fulani limetokea. Tafadhali jaribu tena baadaye. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9007." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Samahani, tatizo fulani limetokea. Tafadhali jaribu tena baadaye. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9008." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Samahani, tatizo limetokea wakati wa kuweka mipangilio katika kifaa chako. Tafadhali jaribu tena baadaye. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9009." "Imeshindwa kuunganisha kwenye Kikasha chako cha Ujumbe wa Sauti" "Samahani, tumeshindwa kuunganisha kwenye kikasha chako cha ujumbe wa sauti kwa sasa. Tafadhali jaribu tena baadaye. Tatizo hili likiendelea, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9990." "Weka mipangilio ya Kipengele cha Ujumbe wa Sauti" "Kipengele cha Ujumbe wa Sauti hakijawekwa kwenye akaunti yako. Tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9991." "Ujumbe wa Sauti" "Kipengele cha Ujumbe wa Sauti Unaoonekana hakiwezi kutumika kwenye kifaa hiki. Tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9992." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9993." "Ujumbe wa Sauti Unaoonekana" "Ili ukamilishe kuweka mipangilio ya kipengele cha Ujumbe wa Sauti Unaoonekana, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9994." "Ujumbe wa Sauti Unaoonekana" "Ili ukamilishe kuweka mipangilio ya kipengele cha Ujumbe wa Sauti Unaoonekana, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9995." "Ujumbe wa Sauti Unaoonekana" "Kuwasha kipengele cha Ujumbe wa Sauti Unaoonekana, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9996." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Ili ukamilishe kuweka mipangilio ya kipengele cha Ujumbe wa Sauti Unaoonekana, tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9998." "Kipengele cha Ujumbe wa Sauti Unaoonekana Kimezimwa" "Tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s ili wakuwashie kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9997." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9989." "Hitilafu Fulani Imetokea" "Tafadhali wasiliana na Kituo cha Huduma kwa Wateja kupitia %1$s na uwaambie kwamba msimbo wa hitilafu ni 9999." "Sheria na Masharti ya kipengele cha Ujumbe wa Sauti Unaoonekana" "Lazima ukubali sheria na masharti ya Verizon Wireless ili uweze kutumia kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana:\n\n%s" "Kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana kitazimwa ukikataa sheria na masharti." "Zima kipengele cha ujumbe wa sauti unaoonekana" "Utaweza kupata ujumbe wa sauti kwa kupiga *86 tu. Weka PIN mpya ya ujumbe wa sauti ili uweze kuendelea." "Weka PIN"